LATEST ARTICLES
 
IMG-20150129-WA0008

Club Bilz: ‘Tulifanya marekebisho ili kuwa club namba moja Afrika’, ifahamu ratiba ya wiki

by Bongo5 Editoron January 30, 2015 - 6:59 pm
Club Bilicanas imefanyiwa marekebisho makubwa na kuifanya si tu kuwa na jina jipya ‘Club Bilz’ bali pia club ya kisasa zaidi kuliko zote nchini. Kwa mujibu wa mkuu wa kitengo cha burudani wa Club Bilz au Bilz Night Club, Raheem...

kanye-west-only-one-video-608x279

Video: Kanye West Ft Paul McCartney – Only One

by Rama Nnauyeon January 30, 2015 - 5:54 pm
Rapper Kanye West amemuweka mtoto wake North West katika video hii mpya inaitwa ‘Only one‘ aliyomshirikisha Paul MacCartney. Add a comment comments

Nikki

Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako

by Sandu Georgeon January 30, 2015 - 3:25 pm
Nikki Wa Pili kutoka Weusi ameingia studio kufanya wimbo mpya ambao amewashirikisha wasanii sita. Add a comment comments

MARIMBA CHART LOGO

MMC: Top 20 ya Marimba Music Chart wiki hii (30/01/15)

by Sandu Georgeon January 30, 2015 - 1:54 pm
Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI...

picture 3

Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars

by Bongo5 Editoron January 30, 2015 - 1:42 pm
Kampuni ya simu ya mkononi imetangaza washiriki walioingia tano bora katika shindano la Airtel Trace Music star shindano lenye lengo la kusaka na kuibua vibaji kwa wanamuziki chipukizi. Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson M...

926565_475340189271641_598014993_n

Mwasiti asimulia mazingira magumu yaliyopo kwenye shule za vijijini ‘hali ni mbaya jamani’

by Bongo5 Editoron January 30, 2015 - 1:19 pm
Muimbaji wa ‘Serebuka’ Mwasiti amedai kuwa anasikitishwa mno na ukweli kuwa wanafunzi wengi wa shule za msingi nchini hawana madawati na bado wanakalia mawe. Mwasiti amesema hivi karibuni amekuwa akizunguka katika mikoa mbalimb...

10919100_282718041852156_79790684_n

Huu ndio mkwanja uliotumika kushoot video ya ‘Kaunyaka’ ya Chege na Temba

by Bongo5 Editoron January 30, 2015 - 12:59 pm
Meneja wa TMK Wanaume Family, Said Fella amesema waliamua kumtumia Adam Juma kushoot video za Kaunyaka ya Chege na Vuvula ya Madee kwakuwa ni mtu wanayeamini ubora wa kazi yake. Video hizo zilifanyika nchini Afrika Kusini. R...

pasha-4

Pasha anaamini kuachana na menejimenti yake kumemfelisha

by Yasin Ngituon January 30, 2015 - 12:47 pm
Muimbaji aliyewahi kuhit na ngoma mbalimbali ukiwemo ‘Ni Soo’, Pasha amedai kuwa kuachana na uongozi uliokuwa ukimsimamia kwenye muziki ni sababu ya yeye kupotea kwenye muziki. Pasha ameiambia Bongo5 kuwa alijiona a...

10852580_731710760251562_1969001659_n

Fid Q amchukua Nisher kuongoza video ya ‘Bongo Hip Hop’

by Rama Nnauyeon January 30, 2015 - 12:28 pm
Fid Q amemchukua Nisher kuongoza video ya ngoma yake ‘Bongo Hip Hop’. Akiongea na 255 kwenye kipindi cha XXL, Clouds FM, Fid amesema ataanza kushoot video hiyo mwishoni mwa wiki hii. Ngoma amedai kuwa amemchagua Nis...

madee

Video: Angalia kionjo cha video mpya ya Madee ‘Vuvula’

by Rama Nnauyeon January 30, 2015 - 12:02 pm
Rais wa Manzese, Madee atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya Vuvula February 7 kwenye kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Hata hivyo kipande kifupi alichoweka meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kw...

Wizzy

New Music: Wizkid – Amin

by Sandu Georgeon January 30, 2015 - 11:30 am
Mwimbaji wa Nigeria, Wizkid ametoa wimbo mwingine mpya uitwao ‘Amin’. Staa huyo na CEO wa Starboy hivi karibuni aliweka wazi ratiba yake inayoonesha kuwa atakuja Tanzania kufanya show mwaka huu 2015. Add a comment comments

2

New Video: Malfred – Pigana

by Rama Nnauyeon January 30, 2015 - 10:50 am
Video mpya kutoka kwa Malfred wimbo unaitwa “Pigana” video imetaarishwa na SPK filmz Next Edition Add a comment comments

Justin-Beiber-justin-bieber-33927518-612-528

Video: Justin Bieber ajirekodi video akiwaomba radhi mashabiki wake kwa hisia kwa tabia yake ya utukutu

by Sandu Georgeon January 30, 2015 - 10:19 am
Justin Bieber ameamua kujisafisha kwa mashabiki wake kwa kuomba radhi kutokana na tabia yake ya kiburi na utukutu ambayo imekuwa ikimpelekea kuvunja sheria mara kwa mara. Add a comment comments

Kanye-West-Kim-Kardashian-900-600

Video: Kanye West: Ndoa na Kim imenifanya kuwa binadamu bora

by Bongo5 Editoron January 30, 2015 - 9:50 am
Kanye West amedai kuwa ndoa yake na Kim Kardashian imembadilisha kwa kiasi kikubwa. Akihojiwa kwenye The Ellen Show, Kanye alidai kuwa hivi sasa amejifunza kujizuia kukaa kimya na kwamba amekuwa ‘binadamu bora’ Akijibu swali la...

Psquare-dad

Mr. Okoye (Baba yao P-Square) aliyefariki Nov 24, 2014 Kuzikwa leo Jan 30, 2015

by Sandu Georgeon January 30, 2015 - 7:57 am
Taarifa iliyowashtua wengi ni kuwa baba mzazi wa mapacha Peter na Paul wa kundi la P-Square la Nigeria, Mr. Moses Okoye aliyefariki dunia November 24 mwaka jana hakuzikwa mpaka sasa. Add a comment comments

10957375_366249356887612_703175986_n

Jay Moe: Narudi kitofauti, msishangae mkinisikia kwenye beat kama za akina ASAP Rocky au French Montana

by Bongo5 Editoron January 29, 2015 - 6:42 pm
Jay Moe anarudi tena. Hata hivyo ameonya kuwa mashabiki wake wa kitambo wasishtuke sana kumsikia akirap tofauti na walivyomzoea. Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, hitmaker huyo wa ‘Kama Unataka Demu’, amedai ...

article-mayweather-0128

Pacquiao na Mayweather wakutana hotelini kuzungumza, ni baada ya kuonana kwenye game ya Miami Heat

by Bongo5 Editoron January 29, 2015 - 6:12 pm
Mechi kati ya Manny Pacquiao na Floyd Mayweather huenda ikawepo. Mashabiki wa ndondi Jumanne hii walijawa na furaha kubwa baada ya kuwaona mabingwa hao wakisalimiana baada ya kukutana kwa mara ya kwanza kwenye game ya Miami Hea...

GTY_nick_canon_mariah_carey_kids_sk_140109_16x9_992

Yaya awashtaki Mariah Carey na Nick Cannon, asema alifukuzwa kwakuwa watoto wao walimpenda kuzidi mama yao

by Bongo5 Editoron January 29, 2015 - 5:57 pm
Mariah Carey na Nick Cannon wanaweza kuwa wanapeana talaka lakini bado wana jambo la kujibu pamoja kwakuwa wameshtakiwa na yaya wao wa zamani kwasababu tu alionesha upendo mwingi kwa watoto wao mapacha. Kwa mujibu wa mtandao wa...