LATEST ARTICLES
 
Chris-Brown-2015

Kesi ya kumdunda Rihanna yamsababisha Chris Brown aahirishe ziara yake

by Rama Nnauyeon January 27, 2015 - 5:08 pm
Pamoja na kupita miaka sita tangu Chris Brown ashtakiwe kwa kosa la kumpiga Rihanna, bado kesi hiyo imeendelea kumgharimu muimbaji huyo wa ‘Loyal’ Chris amelazimika kuahirisha ziara yake ya muziki iliyopewa jina ...

flaviana_matata

Flaviana Matata kushiriki kwenye Tangazo la vivutio vya Tanzania litakalorushwa na CNN America na BBC World

by Sandu Georgeon January 27, 2015 - 2:57 pm
Mwanamitindo wa Tanzania aishiye na kufanya shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ataonekana kwenye tangazo la TV la vivutio vya Tanzania, ambalo linatarajiwa kurushwa kupitia vituo vya Televisheni vikubwa duniani, CNN...

page

Wasanii 10 wapya wa Tanzania wa kuwaangalia mwaka 2015

by Bongo5 Editoron January 27, 2015 - 1:47 pm
Kila mwanzoni mwa mwaka mpya tumekuwa na desturi ya kutaja orodha ya wasanii 10 wapya wenye uwezo mkubwa wa kuwaangalia zaidi. Katika orodha hii, tunajumuisha wasanii ambao wanaweza kuwa wapo kwenye game kwa miaka kadhaa nyuma ...

AY

Touch Me ya AY yapata ‘green light’ kuchezwa Jamaica, Marekani soon

by Yasin Ngituon January 27, 2015 - 1:02 pm
AY amesema wimbo wake Touch Me aliomshirikisha Sean Kingston unaendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla na hivi karibuni utaanza kuchezwa Jamaica. AY ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo amepata rotation inayost...

Lollipop

Nataka kumwandikia Alikiba wimbo bure – asema mwandishi wa ‘Basi Nenda’ ya Mo Music

by Yasin Ngituon January 27, 2015 - 12:44 pm
Mtayarishaji wa muziki na mtunzi wa nyimbo wa Mwanza, Lollipop amesema baada ya kutunga nyimbo kama ‘Basi Nenda’ ya Mo Music na ‘Siachani Nawe’ ya Barakah Da Prince na nyingine, amedai kwa sasa anatamani...

Maisha superstar

AY na Shaa waungana na mastaa wengine wa EA kuwa ma-mentor kwenye show mpya ‘Maisha Superstar’ ya Maisha Magic

by Sandu Georgeon January 27, 2015 - 12:43 pm
Ambwene Yessaya na Shaa wamekuwa wakisafiri sana kwenda Kenya miezi ya karibuni, na miongoni mwa vinavyowapeleka huko ni reality show mpya ya kusaka vipaji vya muziki Afrika Mashariki ya kituo cha Televisheni cha Maisha Magic c...

hqdefault1

New Video: Uncle G Matukutuku Ft Kitokololo – Nchabwede

by Rama Nnauyeon January 27, 2015 - 11:11 am
Video mpya kutoka kwa Uncle G akimshirikisha Kitokololo wimbo unaitwa “Nchabwede” video imeingozwa na Pizzo Mtena Add a comment comments

Lincoln

Nywele za aliyekuwa Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln zauzwa dola 25,000

by Sandu Georgeon January 27, 2015 - 11:00 am
Vitu vya kumbukumbu vya aliyekuwa rais wa 16 wa Marekani Abraham Lincoln vimeuzwa katika mnada mjini Dallas nchini Marekani na kupata dola 800,000. Abraham Lincoln Msokoto mmoja wa nywele za rais huyo aliyeuawa umeuzwa kwa dola...

10362316_695854270498832_253319935_n

Young Killer ataja faida na hasara za msanii kumweka wazi mpenzi wake ‘Ninaambiwa mimi ni mfano wa kuigwa’

by Bongo5 Editoron January 27, 2015 - 10:59 am
Kuna faida na hasara kwa msanii au mtu maarufu kuweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na Young Killer anatueleza ni zipi hizo. “Faida ni kuepuka ule usumbufu ambao kabla hujamtambulisha wanawake tofauti tofauti walikuwa w...

00135

Lil Wayne kuondoka Cash Money pamoja na Drake na Nicki Minaj

by Bongo5 Editoron January 27, 2015 - 10:11 am
Nicki Minaj na Drake ni kama watoto wa Lil Wayne hivyo akiondoka Cash Money Records ataondoka nao hata kama Birdman akiwa na mipango mingine, kwa mujibu wa TMZ. Vyanzo vilivyo karibu na Lil Wayne vimeuambia mtandao huo kuwa pam...

J

New Video: J. Martins ft. Youssou N’Dour – Time Is Now

by Sandu Georgeon January 27, 2015 - 7:55 am
J.Martins ametoa wimbo aliofanya collabo na mwimbaji mkongwe wa Senegal, Youssou n’dour uitwao “Time Is Now”. Ujumbe mkubwa ulioko kwenye wimbo huu ni, muda ni sasa wa kufanya mabadiliko tunayoyataka kwaajili ...

Anp-eJQozfukk29t8OHmEaZlEs340C32FqCusxV_JlOm

Picha: Dj D-Ommy wa Times FM afanya tour Kenya

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 6:58 pm
DJ wa kituo cha Times FM, D-Ommy yupo nchini Kenya alikoenda kujitangaza zaidi. DJ D-Ommy (katikati) akiwa na crew ya Citizen TV akiwemo Willy M Tuva (mwisho kulia) na Fundi Frank (wa pili kulia) Ommy amesema lengo la ziara hiy...

10903650_426931487464924_1518468480_n

Ulikuwa ni mtihani kufanya video na Avril – Ommy Dimpoz (Audio)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 6:29 pm
Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz, haikuwa rahisi kufanya video na Avril aliyemshirikisha kwenye wimbo wake ‘Hello Baby’. Ommy ameiambia Bongo5 kuwa Avril ni msichana ambaye si rahisi macho ya mwanaume kamili kushindwa kushawishiwa na ...

Adam Mchovu of Clouds FM on stage to present the award for Best Male Singer of the year

New Video: Adam Mchovu – Tiririka

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 6:10 pm
Video mpya kutoka kwa Adam Mchovu wimbo unaitwa “Tiririka” video imeongozwa na Hanscana Add a comment comments

10895144_1539207049668717_2055576873_n

Vanessa Mdee alilipwa kuonekana kwenye video ya Jux, ajibu tena swali la kama ni kweli ni wapenzi (Exclusive Audio)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 5:54 pm
Vanessa Mdee hakutokea kwenye video ya ‘Sisikii’ ya Jux bure. Jux alilazimika kumlipa Vee Money gharama za hitmaker huyo wa ‘Hawajui’ kuonekana kwenye video hiyo iliyofanyika nchini China. “Ni kweli alinilipa,” Vane...

Ar_Yj4vesHxn6J9IJ0mdQfNTb7r2M-yeQ3hHyw0xrml8

New Video: Okelo – Okelo wa Show

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 5:08 pm
Video ya wimbo mpya wa Okelo uitwao ‘Okelo wa Show’ iliyoongozwa na Pablo. Wimbo umetayarishwa na Mona Gangster kwenye studio za Classic Sounds Add a comment comments

10945693_10152967394931001_8126682426113130834_n

Ni kweli Mwana FA na Diamond haziivi kisa Alikiba? FA aueleza ukweli (Exclusive Audio)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 5:00 pm
Weekend hii kwenye show ya uzinduzi wa Tigo Music iliyofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam, kulienea taarifa kutoka kwa mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz kuwa Alikiba aliwazuia Mwana FA na Shaa kusaliamiana na hitmake...

TUDUNDE-ONE-COVER-

New Music: Nonini Ft Didge – Tudunde

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 4:18 pm
Today we release a brand new one from Nonini (MgengeTrue) produced by Beat Ya Keggah and Mixed and Mastered by Musyoka! In this track Nonini has done a follow up of the classic track Genge love which was all about the ladies. T...